Thursday 2 May 2013

Hivi ni sawa mtu kushikwa nilivyo ona kwa siku ya wafanyakazi jana?Haifai na tunakorudi nikubaya uhuru wakujieleza unapotezwa polepole

Francis Atwoli ni mtu wa maslai tumekua tukiumizwa miaka na miaka kwa mishahara juzi alisema kua atatetea wabunge kupewa mishahara mikubwa,
 
Eti hali ya maisha ni magumu kwani wabunge wao ununua wapi unga,mboga na mahitaji muhimu? huu ni mchenzo na Kenya sote ni mafisadi hakuna mwe utu na huruma na mkenya masikini

No comments:

Post a Comment