Saturday 2 March 2013

Tuna thana ya umimi

        Chagua mtu yule hana umimi tuwe na msingi wa usawa Kenya mzima,

Kenya wapo viongozi ambao hawana ubinafsi lakini wengi 98% ni ubinafsi tu na maslai yao na rafiki zao ivyo nawasii wakenya kupiga kura kwa umakini mkubwa sana

No comments:

Post a Comment