Monday 17 June 2013

USALAMA UKIZOROTA NANI ALAUMIWE ? KAMA SIO RAIS UHURU AFAA KUFUTA MKUU WA POLIS DAVID KIMAYO

     USALAMA NCHINI UKIWA MUBAYA NASI WAKULAUMIWA NI RAIS SIONI SABABU IPI YAENZA MUWEKA MTU KAZINI KAMA YEYE MWENYEWE HAWAJIBIKI UBAYA UANZA JUU

Fighting email spam/Kupigana na ukora wa email

  Viruses aren't the only annoying things delivered via email.If you're like most users,well over half the messages delivered to your email inbox are unsolicited,unouthorized and unwanted in other word spam.These spam messages are the online equivalent of the junk mail you receiver your postal mailbox and It's a huge problem
   Though it's impossible to do away with 100% of the spam you receive,there steps you can take to reduce the amount of spam you have to deal with.
  Protecting your email address check in internet all the step
Stop exposing your email,its a simple fact

Wednesday 12 June 2013

Wabaya wako niwale wasio wajibika

   Mtu akiwa awajibiki popote pale basi mchukue kua adui yako,wazuri wako ni wale ukiwapa kazi wanaifanya bila malalamiko David Kimayo afai.

Rais muwajibishe au tukuwajibishe wewe

Anae kuchekea usoni usidhani rafiki

   Wote wanaokuchekea Rais usidhani wanakupenda anae kupenda niyule ukimupa cheo anakifanya vizuri sio hawa unawapa vyeo na wanaku angusha.

Rais ya paswa uwe na imani na uwajibishe David Kimayo Afai kuwa polis

  Rais tukuelewe vipi au mpaka wezi watuibie sote ndio umuwajibishe Mkuu wa polisi wahuni wamepata wapi jeuri ya kuibia simu wakenya na pesa.

Wenye hila siku zote hawabebeki,USALAMA NCHINI HAUPO.

    Wenye hila siku zote uwa na yao wamejifichia wakenya hali ya usalama umezorota kupita maelenzo,Watu wananyang'nywa mchana peupe apa Kenya.

    Je hii ni sawa? Haiwezekani watu kuibiwa mchana peupe hii ni njama ya serikali,Simu zinaenda mtu anapokonywa mchana Nairobi.

  Wakenya jueni kua kuna kitu kinaendelea,Na ukimya wetu utatumalinza

Tuesday 11 June 2013

Niwapongeza wana harakati wakenya

 Nawapongeza wanaharakati wa Kenya kwa kazi yao,lakini mujue hawa wabunge wanaweza tuma watu ili kuvuruga harakati zenu.

  Niwambie tu Akuna kitu kizuri uja rahisi lazima kupitia ugumu fulani